Acts 17:2-3

2Kama desturi yake, Paulo aliingia ndani ya sinagogi, na kwa muda wa Sabato tatu akawa anahojiana nao kutoka kwenye Maandiko, 3 a , bakidhihirisha wazi na kuthibitisha kwamba ilikuwa lazima Kristo
Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta.
ateswe na afufuke kutoka kwa wafu. Akasema, “Huyu Yesu ninayewaambia habari zake, ndiye Kristo.”
Copyright information for SwhNEN